Habari

  • BBT-LIFE SASA NI ZAMU YA TASNIA YA KUKU

    December 08, 2023

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe ameagiza kuanzishwa kwa programu ya “Jenga kesho iliyo njema” (BBT) kwa upande wa Tasnia ya kuku ili kuongeza wigo wa ongezeko la ajira kwa wanawake na vijana kote nchini.

  • WANAWAKE WAHIMIZWA KUJIUNGA KATIKA VIKUNDI

    December 05, 2023

    ​Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe amewahimiza Wanawake wanaojihusisha na Uvuvi Mdogo wajiunge katika vikundi kwa lengo la kupata fursa ya kukopeshwa vifaa vya kisasa ikiwemo maboti ili wawe na uwezo wa kwenda kuvua samaki katika maji mengi.

  • WAZIRI ULEGA AKUTANA NA MKURUGENZI WA WORLDFISH

    December 05, 2023

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa WorldFish, Dkt. Essam Yassin Mohammed pembezoni mwa Mkutano wa COP 28, Dubai, UAE

  • ULEGA ASHIRIKI MKUTANO WA WIZARA ZA KISEKTA NA AFDB

    December 04, 2023

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega ameshiriki Mkutano wa Wadau, Viongozi na Wizara za kisekta na AFDB wa pamoja wa upili (Bilateral Meeting) kujadili mpango wa upatikanaji wa fedha za Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Songwe kwa kushirikiana kati ya Tanzania na Malawi.

.