Albamu ya Video

 • Ndaki atoa somo zito kwa viongozi na watendaji kuhusu watumishi waliopo chini yao

  Ndaki atoa somo zito kwa viongozi na watendaji kuhusu watumishi waliopo chini yao

  September 20, 2021

  Wengi wakoshwa na ujumbe wake, Tazama hapo!

 • "Ongezeko la ruzuku kwenye uvuvi halitowanufaisha wavuvi wetu kwa sasa" Ndaki

  September 20, 2021

  Aweka wazi sababu za kukataa nyongeza hiyo huku akiainisha namna ambavyo ingeyanufaisha mataifa yaliyoendelea.

 • NDAKI AAGIZA ULINZI KUWEKWA KWENYE SHAMBA LA UZALISHAJI MIFUGO - MABUKI

  NDAKI AAGIZA ULINZI KUWEKWA KWENYE SHAMBA LA UZALISHAJI MIFUGO - MABUKI

  September 20, 2021

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki ameagiza eneo la Kituo cha Mabuki kilichopo wilayani Misungwi mkoani Mwanza kulindwa na Suma JKT pamoja na kujengewa fensi (uzio) ili kuimarisha ulinzi na usalama wa wat una eneo hilo. (14.07.2021)

 • SEKTA YA UVUVI KUFANYA MAPITIO YA BAADHI YA SHERIA NA KANUNI – MHE. NDAKI

  SEKTA YA UVUVI KUFANYA MAPITIO YA BAADHI YA SHERIA NA KANUNI – MHE. NDAKI

  September 20, 2021

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki amewaeleza wadau wa sekta ya uvuvi mkoani Kagera kuwa wizara itafanya mapitio ya baadhi ya sheria na kanuni za uvuvi ili ziweze kuendana na mazingira ya hali ya uvuvi ya sasa. (13.07.2021)

 • WAZIRI NDAKI ATATUA MGOGORO WA ARDHI KWENYE MRADI WA MWISA II - KAGERA

  WAZIRI NDAKI ATATUA MGOGORO WA ARDHI KWENYE MRADI WA MWISA II - KAGERA

  September 20, 2021

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Mashauri Ndaki ametatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa muda mrefu baina ya wananchi na Kampuni ya Ranchi za Taifa ambao ndio wamiliki wa eneo hilo. (12.07.2021)

.