Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Vigezo na Masharti

Kanuni na Masharti yafuatayo yanasimamia matumizi yote ya Tovuti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Huduma zetu zinatolewa kwa sharti la kukubalika kila marekebisho ya kanuni na masharti yaliyomo na kanuni nyingine za uendeshaji, sera, notisi na taratibu zitakazochapishwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kila baada ya muda.

Tafadhali soma makubaliano haya kwa makini kabla ya kutumia au kupata huduma zetu. Kwa kupata au kutumia sehemu yoyote ya huduma zetu, unakubali kufungwa na kanuni na masharti ya makubaliano haya. Iwapo hukubaliani na kanuni na masharti yote ya mkataba huu, hutaweza kupata au kutumia huduma yetu yoyote.

Mrejesho, Malalamiko au Wazo