Habari

 • ​BENKI YA DUNIA KUENDELEA KUWAINUA WAFUGAJI, WAVUVI NCHINI

  March 24, 2023

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amekutana na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia, Bw. Nathan Belete na kujadiliana namna wanavyoweza kuendelea kushirikiana katika kuimarisha Sekta ya Mifugo na Uvuvi hapa nchini.

 • ​SEKTA BINAFSI YASHIRIKI ZAIDI UCHUMI WA TAIFA KWA UFUGAJI WA KUKU

  March 23, 2023

  Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaelezwa kuchangia kwa kiasi kikubwa sekta binafsi kushiriki katika mnyororo wa ukuzaji uchumi wa taifa ambapo takriban kaya milioni nne zinajihusisha moja kwa moja na ufugaji wa kuku.

 • ​SERIKALI KUKOPESHA WANAWAKE SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI

  March 23, 2023

  Serikali kupitia Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya (EIB) inatarajia kutoa mkopo wa Sh1.3 trilioni kusaidia wanawake kuboresha biashara na uwekezaji kwenye mnyororo wa thamani katika sekta za mifugo na uvuvi.

 • ​RAIS SAMIA ATOA MILIONI 878.4 KUBORESHA MIFUGO NCHINI

  March 21, 2023

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. David Silinde amesema katika kipindi cha miaka miwili tangu Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, serikali imenunua madume ya ng’ombe ya kisasa 366 yenye thamani ya Silingi Milioni 878.4 ili kuboresha mifugo nchini.

.