Habari

 • ​WADAU WA KUKU WATAKIWA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UZALISHAJI, MLAJI KUNUFAIKA

  May 24, 2022

  Wadau wa tasnia ya kuku nchini wametakiwa kutafakari namna ya kupunguza gharama za uzalishaji ili mnufaika wa mwisho ambaye ni mlaji aweze kununua kuku kwa bei nafuu

 • ​UJERUMANI NA TANZANIA KULINDA HIFADHI ZA BAHARI YA HINDI

  May 24, 2022

  Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Uvuvi Dkt. Rashid Tamatamah amekutana na ujumbe kutoka Ubalozi wa Ujerumani hapa nchini na Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ) ...

 • RASILIMALI ZA UVUVI BAHARI KUU KULINDWA KISAYANSI

  May 24, 2022

  Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi, anayeshughulikia uvuvi, Dkt. Rashid Tamatamah amekutana na Mshauri Mwandamizi wa Kampuni ya CS-Group kutoka Paris, Ufaransa, Bw. Hakim Kachetel kuona namna serikali inaweza kushirikiana na kampuni hiyo katika kulinda rasilimali za uvuvi katika ukanda wa bahari kuu hapa nchini.

 • ​TANZANIA NA OMAN KUFANYA UTAFITI WA SAMAKI BAHARI YA HINDI

  May 13, 2022

  Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) imetia saini hati ya makubaliano na Mamlaka ya Uwekezaji ya Oman (OIA) ili kufanya utafiti utakaosaidia kutathimini kiwango cha samaki kinachoweza kupatikana kwenye Ukanda wa Bahari ya Hindi hivyo kusaidia ongezeko la wawekezaji katika Sekta ya Uvuvi.

.
Tanzania Census 2022 Tanzania Census 2022