Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
UJENZI WA BWAWA LA CHAMAKWEZA ULIKUWA SHIRIKISHI-NDAKI
March 30, 2022Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki amesema kuwa madai ya baadhi ya viongozi na watendaji wa eneo lilipojengwa Bwawa la Chamakweza kuwa hawakushirikishwa kabisa si ya kweli kwa sababu kuna ushahidi unaoonesha ushiriki wao hasa katika hatua za awali za ujenzi wa Bwawa hilo.
-
KAMATI YA BUNGE YAITAKA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KUKAMILISHA MAABARA YA TAFIRI
March 30, 2022Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali imeagiza Wizara ya Mifugo na Uvuvi kukamilisha maandara ya Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) ili maabara hiyo iweze kufanya kazi iliyokusudiwa.
-
WAWEKEZAJI SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI WAZIDI KUJITOKEZA
March 30, 2022Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema wawekezaji wanazidi kujitokeza wakiwa na nia ya kuwekeza kwenye sekta za mifugo na uvuvi.
-
WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA MASHIRIKIANO NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
March 30, 2022Wizara ya Mifugo na Uvuvi imesaini hati ya makubaliano ya mashirikiano na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Kujenga, Kuanzisha na Kusimamia Kituo cha Taifa cha Ukuzaji Viumbe Maji bahari.