Habari

  • MADAKTARI 120 WA WANYAMA WAFUTIWA USAJILI

    January 07, 2025

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia Baraza lake la Veterinari nchini imefuta usajili wa madaktari 120 wa wanyama na majina yao yameondolewa kwenye rejesta ya madaktari hao kutokana na kutotimiza matakwa ya kisheria.

  • DKT. KIJAJI ADHAMIRIA MAPINDUZI MAKUBWA SEKTA YA MIFUGO

    January 04, 2025

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amedhamiria kuboresha miundombinu ya ufugaji ili wafugaji wafuge kisasa wakiwa katika maeneo yao rasmi na kuondokana na ufugaji wa kuhamahama.

  • MOROGORO YATAJWA KANDA MAALUM UFUGAJI WA KISASA

    January 04, 2025

    Mkoa wa Morogoro watajwa kuwa Kanda Maalum ya ufugaji wenye tija kwa kuwa na ng'ombe wa kisasa na mashamba ya malisho kwa ajili ya mifugo.

  • MAAFISA UGANI MIFUGO KUWEZESHWA PIKIPIKI 700, VISHKWAMBI 4500

    January 04, 2025

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kufanya mapinduzi ya sekta ya Mifugo imeendelea kudhihirishwa kupitia ununuzi wa pikipiki nyingine 700 na vishkwambi 4500.

.