Habari

 • DAGAA NI ZAO LA KIMKAKATI

  May 10, 2022

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wanatengeneza miundombinu mizuri na kuwapatia Wavuvi wanaoishi kandokando ya ukanda wa Ziwa Tanganyika na maeneo mengine vifaa vya kisasa

 • ULEGA: TUMIENI TEKNOLOJIA KUZUIA UPOTEVU WA MAZAO YA UVUVI

  May 10, 2022

  NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema kuwa sekta ya uvuvi nchini inakabiliwa na changamoto kubwa ya upotevu wa mazao ya samaki hususan dagaa huku akiwataka wadau kuhakikisha wanatumia teknolojia za kisasa ambazo ni rahisi zitakazowezesha kukabiliana na changamoto hiyo.

 • ‚ÄčSERIKALI YATUMIA ZAIDI YA MILIONI 300 KUNUNUA BOTI ZA UVUVI

  May 10, 2022

  Serikali imenunua boti 16 na injini 12 zenye thamani ya Sh Milioni 395 ambazo zitatumiwa na maafisa uvuvi katika kudhibiti rasilimali za uvuvi nchini.

 • ‚ÄčKATIBU MKUU MIFUGO ATEMBELEA MINADA YA UPILI JIJINI ARUSHA.

  May 10, 2022

  Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Bw.Tixon Nzunda amefanya ziara ya kutembelea Minada ya Upili inayosimamiwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) kwa lengo la kuangalia kazi mbalimbali zinazotekelezwa katika minada hiyo.

.
Tanzania Census 2022 Tanzania Census 2022