Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
WATUMISHI WA LITA WAHIMIZWA KUZINGATIA MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA
April 07, 2025Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Mhina amewataka watumishi wa Wakala ya Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo Tanzania (LITA) kuzingatia Kanuni za Maadili ya Utumishi wa umma.
-
DKT. KIJAJI AWATAKA WATUMISHI WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KUWA WAZALENDO
March 28, 2025Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, amewataka watumishi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuwa na utumishi wa kizalendo uliotukuka kwa Watanzania ili kuweza kusongambele katika Sekta hizo mbili.
-
RAI YATOLEWA KWA WAFUGAJI KWA VIZIMBA KUSHIKWA MKONO ZAIDI
March 21, 2025Serikali imetoa wito kwa wawekezaji na watoa huduma mbalimbali zikiwemo taasisi za kifedha kuuangana na serikali pamoja na sekta binafsi ili kuwezesha wawekezaji wa ufugaji samaki kwa njia ya vizimba waendelee kufanya vizuri zaidi.
-
KIWANDA CHATAKIWA KUANZA UZALISHAJI, KUFUATIA MAZINGIRA MAZURI YA UWEKEZAJI
March 21, 2025Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi) Dkt. Edwin Mhede ameutaka uongozi wa kiwanda cha kuchakata mazao ya uvuvi cha LIFA Products ltd, kilichopo Manispaa ya Musoma mkoani Mara kuhakikisha kiwanda hicho kinaanza uzalishaji hivi karibuni.