Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
SEKTA ZA MIFUGO NA UVUVI ZAPAA MKOANI KAGERA
October 13, 2024Sekta za Mifugo na Uvuvi zimeonekana kufanya vizuri ukilinganisha na sekta nyingine mkoani Kagera kutokana na ongezeko la kila mwaka kwenye uzalishaji wa mazao ya sekta hizo.
-
PWANI YAHIMIZWA KUTUNZA RASILIMALI ILI KUONGEZA UZALISHAJI SEKTA YA UVUVI
September 21, 2024Mkoa wa Pwani umehimizwa kutunza rasilimali za mito, maziwa na bahari ili kuongeza uzalishaji wa samaki na mazao mengine yaliyopo katika Bahari ya Hindi.
-
RASILIMALI ZA BAHARI ZATAJWA KUWA ONGEZEKO PATO LA TAIFA
September 19, 2024Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Toba Nguvila amesema Sekta ya Uvuvi ikisimamiwa vyema kupitia rasilimali za Bahari ya Hindi, sekta hiyo itaweza kuimarisha pato la taifa kupitia kupitia mnyororo wa thamani.
-
MIRADI ITUMIKE KUINUA UCHUMI WA WAVUVI-DKT. MWINYI
September 14, 2024Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametoa rai kwa mashirika ya kimataifa yanayotekeleza miradi ya Uvuvi nchini kuhakikisha miradi hiyo inatumika kuinua uchumi wa wavuvi na sekta ya uvuvi kwa ujumla.