Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
PROF. SHEMDOE ATOA MAELEKEZO KWA WAZABUNI WATAKAO SAMBAZA CHANJO NCHINI
January 22, 2025Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe amewataka wazabuni waliopewa jukumu la kusambaza chanjo kwa ajili ya kampeni ya chanjo ya mifugo nchini kuhakikisha kazi hiyo wanaifanya vyema kwa kushirikiana na wazalishaji.
-
TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI JULAI HADI DESEMBA 2024 YAJADILIWA
January 14, 2025Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo wakiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Deodatus Mwanyika wamepokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi...
-
DKT KIJAJI: "MAPINDUZI SEKTA YA MIFUGO YANAANZA NA MFUGAJI MWENYEWE”
January 13, 2025Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuelekea mapinduzi makubwa katika Sekta ya Mifugo, miongoni mwa mambo muhimu ni wafugaji kuogesha mifugo yao ili kuwa bora na sekta hiyo kuchangia zaidi katika pato la taifa.
-
RAIS SAMIA AHIMIZA MALEZI BORA, KWA WATOTO
January 10, 2025Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametaka wazazi na walezi wa watoto kutekeleza vyema majukumu yao katika malezi ili shule ziwe na watoto wenye nidhamu na maadili kwa kuwaandaa kuwa wataalamu na viongozi.