Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
DKT. MHINA AWATAKA WATUMISHI KUZINGATIA WELEDI, UAMINIFU NA WAJIBU
April 15, 2025Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Mhina amewataka watumishi wa Bodi ya Maziwa Tanzania (TDB) kuzingatia weledi, uaminifu na wajibu katika kutekeleza majukumu yao.
-
SHEMDOE ABAINISHA FURSA ZA MALISHO YA MIFUGO
April 14, 2025Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe amewataka wafugaji nchini kuendelea kutenga maeneo ya kuzalisha malisho ya mifugo yao ili waendelee kuboresha afya za wanyama na kujipatia kipato baada ya kuyauza.
-
NDEGE NYUKI YAANZA RASMI KUWASAKA WAVUVI HARAMU ZIWA VICTORIA
April 13, 2025Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mara ya kwanza imenunua na kuzindua matumizi ya ndege nyuki (drone) itakayofanya kazi ya kuimarisha usimamizi wa shughuli za uvuvi katika Ziwa Victoria.
-
MIFUGO ZAIDI YA MILIONI 370 IMEPATIWA CHANJO DHIDI YA MAGONJWA
April 08, 2025Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetoa chanjo kwa mifugo zaidi ya milioni 370 kwa lengo la kutibu na kuzuia magonjwa aina ya kiimeta na homa ya mapafu, pamoja na mifugo kukidhi matakwa ya soko la kimataifa.