Habari

 • ​RASILIMALI ZA UVUVI BAHARI KUU KULINDWA KISAYANSI

  May 12, 2022

  Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi, anayeshughulikia uvuvi, Dkt. Rashid Tamatamah amekutana na Mshauri Mwandamizi wa Kampuni ya CS-Group kutoka Paris, Ufaransa, Bw. Hakim Kachetel kuona namna serikali inaweza kushirikiana na kampuni hiyo katika kulinda rasilimali za uvuvi katika ukanda wa bahari kuu hapa nchini.

 • ​NDAKI AKUTANA NA WAFANYABIASHARA YA MIFUGO

  May 12, 2022

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki amekutana na Umoja wa Wafanyabiashara ya Mifugo na Mazao yake Temeke (UWAMIMATE) kwa lengo la kusikiliza kero na changamoto wanazokabiliana nazo Wafanyabiashara hao katika shughuli zao za kila siku.

 • TAASISI NA WIZARA ZATAKIWA KUSHIRIKIANA KUKABILI UTAPIAMLO

  May 12, 2022

  ​Wizara na Taasisi zinazohusiana na masuala ya lishe nchini zimetakiwa kushirikiana na kubadilishana uzoefu katika mapambano dhidi ya Utapiamlo kuhakikisha jamii na Taifa linakuwa salama.

 • SERIKALI KUKUZA SOKO LA MAZIWA NCHINI - NDAKI

  May 12, 2022

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki amesema Serikali imeendelea na mkakati wa kukuza Soko la maziwa Nchini kwa kuimarisha na kuendeleza programu ya unywaji wa maziwa shuleni.

.
Tanzania Census 2022 Tanzania Census 2022