Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
WATAALAM WATUMIKIENI WAFUGAJI, WAVUVI KWA WELEDI-DKT. KIJAJI
December 20, 2024Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amewataka wataalam wa Wizara hiyo kutumia taaluma walizonazo kuwatumikia wafugaji na Wavuvi kwa weledi wakati wa utekelezaji wa majukumu yao.
-
DKT KIJAJI AIAGIZA NARCO KUZALISHA MBEGU ZA MIFUGO, MALISHO KWA WINGI
December 17, 2024Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ameiagiza Kampuni ya Ranchi za Taifa NARCO iliyopo Kongwa Jijini Dodoma Kuongeza wigo wa Uzalishaji wa Mbegu Bora za Mifugo na Malisho itakayoongeza upatikanaji wa Nyama nchini na Kukuza uchumi wa Wafugaji.
-
DKT. KIJAJI KUENDELEZA ALIPOISHIA ULEGA KUKUZA SEKTA ZA MIFUGO NA UVUVI
December 16, 2024Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema katika kuendeleza na kukuza sekta za Mifugo na Uvuvi ataanzia pale alipoishia mtangulizi wake Mhe. Abdallah Ulega ili kuendelea kuzifanya sekta hizo kuwa na mchango mkubwa zaidi kwenye pato la taifa.
-
TANZANIA YAPOKEA DOZI 1000 ZA MBEGU ZA NG'OMBE BORA WA NYAMA KUTOKA INDONESIA
December 02, 2024Nchi ya Tanzania kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi chini ya Kituo cha Taifa cha Uhimilishaji wa Mifugo (NAIC) kilichopo mkoani Arusha leo Desemba 02, 2024 imepokea dozi 1000 za mbegu za Ng'ombe bora wa nyama kutoka nchini Indonesia..