Habari

 • BILIONI 2 KUJENGA MABWAWA YA KUNYWESHEA MIFUGO

  May 09, 2022

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amesema Serikali ina mkakati wa kuhakikisha maeneo yenye mifugo mingi na yale yanayoathirika na ukame mara kwa mara yanakuwa na miundombinu ya maji yakiwemo mabwawa kwa ajili ya maji ya mifugo.

 • TUTAJENGA MAZINGIRA WEZESHI KWA WATAFITI WA MIFUGO - NZUNDA

  May 09, 2022

  Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi(Mifugo), Bw. Tixon Nzunda amesema Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi itaendelea kujenga mazingira wezeshi kwa Wataalam wa utafiti wa magonjwa ya mifugo ikiwemo kuwapatia vibali vinavyohitajika ili kurahisisha utendaji wa kazi zao.

 • ‚ÄčTUTENGENEZE UHITAJI WA MAZIWA KWANZA-NDAKI

  May 09, 2022

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki ameiagiza Bodi ya Maziwa Tanzania (TDB) kushirikiana na chama cha Wasindikaji wa Maziwa (TAMPA) kutengeneza uhitaji wa maziwa kwa wananchi badala ya kuendelea kutumia nguvu kubwa sana kwenye kusisitiza uzalishaji na Usindikaji wa bidhaa hiyo.

 • ‚ÄčMIRADI KUPUNGUZA MATUMIZI YA DAWA KWA KUKU MBIONI KUTEKELEZWA

  May 09, 2022

  Wataalam wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kushirikiana na wataalam kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) wameandaa miradi miwili (2) ya kutafiti njia mbadala ya kutibu kuku ili kudhibiti magonjwa na kupunguza matumizi ya madawa hususan ya antibiotiki yasiyokuwa ya lazima.

.
Tanzania Census 2022 Tanzania Census 2022