Habari

 • SERIKALI KUHIMILISHA NG’OMBE MIL. 5 IFIKAPO 2025.

  September 01, 2021

  Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia sekta yake ya Mifugo ipo mbioni kununua kiwango kikubwa cha gesi aina ya “liquid nitrogen” kutoka kiwanda cha kutengenezea gesi hiyo kinachojulikana kama “Tanzania Oxygen Limited” (TOL)kilichopo Mkoani Dar-es-salaam.

 • TADB YAOMBWA KUENDELEA KUWASAIDIA WAVUVI NCHINI

  September 01, 2021

  Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeiomba Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) kuwasaidia wavuvi katika mambo matatu ikiwemo kuwaondoa wavuvi kutoka kwenye uvuvi wa maji ya ndani na kuwapeleka kuvua kwenye maji ya Kitaifa kwa kutumia maboti ya kisasa badala ya mitumbwi na ngalawa.

 • ​TANZANIA INAZALISHA TANI 900,000 PEKEE ZA VYAKULA VYA MIFUGO - RAS IRINGA

  September 01, 2021

  Tanzania inakabiliwa na changamoto ya uhaba wa vyakula vya mifugo vinavyosindikwa viwandani kwa zaidi ya asilimia 60 huku sababu ikitajwa ni idadi ndogo ya Viwanda vikubwa vya usindikaji.

.