Habari

 • ​SEKTA BINAFSI YASHIRIKI ZAIDI UCHUMI WA TAIFA KWA UFUGAJI WA KUKU

  March 23, 2023

  Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaelezwa kuchangia kwa kiasi kikubwa sekta binafsi kushiriki katika mnyororo wa ukuzaji uchumi wa taifa ambapo takriban kaya milioni nne zinajihusisha moja kwa moja na ufugaji wa kuku.

 • ​SERIKALI KUKOPESHA WANAWAKE SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI

  March 23, 2023

  Serikali kupitia Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya (EIB) inatarajia kutoa mkopo wa Sh1.3 trilioni kusaidia wanawake kuboresha biashara na uwekezaji kwenye mnyororo wa thamani katika sekta za mifugo na uvuvi.

 • ​RAIS SAMIA ATOA MILIONI 878.4 KUBORESHA MIFUGO NCHINI

  March 21, 2023

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. David Silinde amesema katika kipindi cha miaka miwili tangu Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, serikali imenunua madume ya ng’ombe ya kisasa 366 yenye thamani ya Silingi Milioni 878.4 ili kuboresha mifugo nchini.

 • ​SAUDI ARABIA KUWEKEZA SEKTA YA MIFUGO NCHINI

  March 20, 2023

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mazingira, Maji na Kilimo wa Saudi Arabia, Mhandisi AbdulRahman Bin Abdulmohsen Alfadley ili kuona ni namna gani nchi hiyo ya Saudi Arabia inawekeza katika fursa zilizopo kwenye Sekta ya Mifugo hapa nchini.

.