Dira na Dhima (Uvuvi)

Dira

Dira ya Sera ya Maendeleo ya Uvuvi ya mwaka 2015 inalenga kuwa na Sekta ya Uvuvi ambayo ifikapo mwaka 2025 itakuwa inachangia kikamilifu katika maendeleo ya uchumi na kuboresha maisha ya wananchi kupitia matumizi endelevu ya rasilimali za uvuvi.

Dhima

Kuhakikisha kwamba rasilimali za uvuvi zinaendelezwa, kusimamiwa, kuhifadhiwa na kutumiwa kwa njia endelevu kwa ajili ya ukuaji wa uchumi na kuboresha maisha ya wananchi.

.