Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)

i)Awe amesomea astashahada ya afya ya wanyama (Veterinary Science) au astashahada ya afya ya wanyama na Uzalishaji (Certificate in Animal Health and Production) katika chuo kinachotambuliwa na Baraza.

ii) Gharama ya kuorodheshwa ni TZ sh 40,000/=.