Huduma zinazotolewa na idara uendelezaji wa nyanda za malisho na rasilimali za vyakula vya mifugo

  • Usajili wa maeneo ya kuzalishia, kuhifadhi na kuuzia vyakula vya mifugo.
  • Registration of premises for manufacturing, storage and selling animal feeds.
  • Kuwashauri wazalishaji wa vyakula vya mifugo kuzalisha vyakula bora na salama.
  • To advise Animal Feed Producers on production of quality and safe feeds.
  • Kuwaunganisha wadau wa vyakula vya mifugo na taasisi nyingine zinazowahusu.
  • To link Animal feeds stakeholders with other related Animal feeds Institutes.
  • Kutoa elimu kwa wakaguzi wa vyakula vya mifugo.
  • Training Feeds Inspectors.
  • Kusajili maeneo ya malisho ya mifugo.
  • Registration of grazing land.

.