Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
ULEGA ATEMBELEA TANCHOICE
December 14, 2023Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega akiongeza na Uongozi wa Machinjio ya kisasa ya TANCHOICE alipotembelea Machinjio hayo yaliyopo Wilayani Kibaha, Mkoani Pwani Disemba 13, 2023, ambapo aliwapongezi kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kuchagiza biashara ya nyama nje ya nchi.
-
WAFUGAJI WAHAMASISHWA KULIMA MALISHO
December 14, 2023Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega ameendelea kuwahimiza wafugaji kuhakikisha wanatenga maeneo kwa ajili ya kulima malisho ili kuwa na uhakika wa malisho kwa ajili ya mifugo yao wakati wote.
-
CHANJO YA MIFUGO SASA NI LAZIMA SIO HIYARI-MNYETI
December 13, 2023Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amesema kuwa kuanzia mwezi Julai mwakani (2024) chanjo za kuikinga mifugo na magonjwa mbalimbali itakuwa ni lazima na sio hiyari kama ilivyo sasa.
-
WAZIRI ULEGA ATOA POLE KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO HANANG
December 11, 2023Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amefika Wilayani Hanang, Mkoani Manyara kwa lengo la kutoa pole na kukabidhi mchango wa wadau na wizara kwa wananchi walioathirika na mafuriko wilayani humo.