Habari

  • ​RAIS SAMIA AIPA HEKO WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI, ARIDHISHWA NA KASI YA UTENDAJI

    January 31, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema serikali imedhamiria kuleta mageuzi makubwa katika Sekta ya Uvuvi, hivyo imeamua kutoa kipaumbele katika kukuza sekta hiyo kwa kuimarisha utendaji kazi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi.

  • ​​MARUFUKU KUCHOMA MOTO MITUMBWI YA WAVUVI- ULEGA

    January 24, 2024

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega ametoa maelekezo kwa Maafisa wanaosimamia ulinzi wa rasilimali za uvuvi kuacha kuchoma moto mitumbwi ya wavuvi iliyokamatwa kwa tuhuma za kutumika katika uvuvi haramu.

  • ​​ULEGA ATOA ONYO KALI KWA WAVUVI HARAMU

    January 24, 2024

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amewatahadharisha wale wote wanaojihusisha na uvuvi haramu kuacha vitendo hivyo mara moja huku akisema kuwa atakayekamatwa Serikali itachukua hatua kali dhidi yake.

  • ​​ULEGA: TANGAZENI VITALU KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    January 22, 2024

    ​Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amewaagiza Naibu Katibu Mkuu, Sekta ya Mifugo, Prof. Daniel Mushi na Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera kuhakikisha kuwa maeneo yote yaliyopo katika Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) mkoani Kagera ambayo hayana mgogoro yatangazwe kwa ajili ya uwekezaji.

.