Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
VIJANA WALIOITIKIA WITO WA MHE. RAIS KUWEZESHWA
March 08, 2024Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amemuelekeza Naibu Katibu Mkuu, Sekta ya Mifugo, Prof. Daniel Mushi kuhakikisha anawawezesha vijana wa kikundi cha Kanani Msomera walionzisha wao wenyewe programu yao ya BBT kwa lengo la kujikwamua kiuchumi.
-
TALIRI WEST KILIMANJARO KUWA KITIVO CHA UBORA UZALISHAJI MBUZI,KONDOO.
March 05, 2024Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Daniel Mushi amesema kuwa Wizara yake inakusudia kukifanya kituo cha Utafiti wa Mifugo kanda ya Kaskazini cha West Kilimanjaro kuwa kitivo cha Ubora kwenye uzalishaji wa mbuzi na kondoo.
-
SERIKALI YATOA EKARI 1000 ZA RANCHI KWA WANANCH
March 05, 2024Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imewapa wananchi wa kijiji cha Kalimaji eneo lenye ukubwa wa ekari 1000 zilizokuwa zinamilikiwa na Taasisi ya Utafiti wa Mifugo nchini (TALIRI)
-
SERIKALI KURASIMISHA BIASHARA YA MABONDOKURASIMISHA BIASHARA YA MABONDO
March 05, 2024Serikali imesema itahakikisha inachukua hatua ya kuwepo kwa taratibu maalum zilizo wazi kwenye biashara ya mabondo ya samaki ili kujiridhisha upatikanaji wake hadi kufika viwandani kwa ajili ya kuchakatwa.