Habari

  • NYANDA ZA JUU KUSINI NI ENEO LETU LA KIMKAKATI-PROF. MUSHI

    March 26, 2024

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia sekta ya Mifugo Prof. Daniel Mushi amesema kuwa Wizara yake imeifanya kanda ya Nyanda za Juu kusini kuwa ni eneo lao la kimkakati kwa upande wa Ufugaji hususan ufugaji wa Ng’ombe wa Maziwa.

  • MAAFISA UGANI KUSINI WAPIGWA MSASA!

    March 21, 2024

    Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi leo Machi 21, 2024 imeendelea na zoezi la kuwanoa maafisa ugani wa sekta ya Mifugo waliopo kanda ya kusini inayojumuisha mikoa ya Lindi na Mtwara kwenye mafunzo yaliyofanyika wilaya ya Masasi mkoani Mtwara.

  • KAMATI YAVUTIWA NA UZALISHAJI WA MALISHO SHAMBA LA VIKUGE

    March 19, 2024

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya viwanda , Biashara ,Kilimo na Mifugo imeridhishwa na kazi ya uzalishaji wa mbegu za malisho ya mifugo katika shamba la serikali lililopo katika kijiji cha vikunge wilaya ya Kibaha mkoani Pwani.

  • MAAFISA UGANI PWANI NA MASHARIKI WAAHIDI KWENDA KUCHAPA KAZI!

    March 19, 2024

    Maafisa Ugani (Mifugo) upande wa kanda ya Mashariki na Pwani wameahidi kwenda kutekeleza kwa vitendo yale yote waliyoelekezwa kupitia mafunzo rejea yaliyofanyika Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani kuanzia Machi 18-19, 2024.

.