Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
ULEGA AZINDUA MPANGO WA TAIFA WA KUHIFADHI KASA BAHARINI
March 31, 2024Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema Mpango wa Taifa wa Miaka 5 wa Kuhifadhi Kasa wa Baharini ambao ameuzindua mapema leo ukitekelezwa ipasavyo utasaidia kuwalinda Kasa hao ambao wapo hatarini kutoweka.
-
WIZARA YATOA ELIMU YA KUPUMZISHA ZIWA TANGANYIKA
March 31, 2024Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza kutekeleza shughuli za upumzishaji ziwa Tanganyika mkoani Kigoma kuanzia Mei 15, 2024 hadi Agosti 15, 2024 kwa kutoa elimu kwa madiwani na watendaji wa serikali mkoani Kigoma.
-
SERIKALI KUTAFUTA SULUHISHO YA MIALO KUFURIKA MAJI ZIWA TANGANYIKA
March 31, 2024Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza kutekeleza mkakati wa kutafuta suluhisho la kufurika kwa maji katika mialo ya ziwa Tanganyika leo machi 27, 2024 mkoni Kigoma.
-
SERIKALI YAANZA YAANZA UJENZI WA CHUO CHA MAFUNZO YA MIFUGO SONGWE
March 26, 2024Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi chini ya Wakala yake ya Mafunzo ya Mifugo nchini (LITA) imeanza ujenzi wa Chuo cha Mafunzo ya Mifugo katika mkoa wa Songwe kitakachogarimu takribani shilingi Bil.1.2...