Habari

  • TUPAZE SAUTI KUOKOA PUNDA-MNYETI

    May 17, 2024

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amewataka wadau wote wanaosimamia ustawi na haki za wanyama kukemea vikali vitendo vitakavyosababisha kutoweka kwa Punda ili wanyama hao waendelee kuwasaidia wananchi katika shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi.

  • WAZIRI MKUU AZINDUA KITUO CHA UFUGAJI MBUZI, KONGWA

    May 17, 2024

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 13, 2024 amezindua na kushuhudia makabidhiano ya Kituo Atamizi cha Ufugaji wa Kibiashara kwa Vijana, baina ya Taasisi ya PASS TRUST na Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI)kilichopo Kongwa mkoani Dodoma.

  • WATUMISHI WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI WATAKIWA KUWAJIBIKA NA KUWA WAADILIFU

    May 17, 2024

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amewataka watumishi wa wizara hiyo kuwa na uwajibikaji na uadilifu katika makujumu yao ya kuwatumikia wananchi.

  • UPUMZISHWAJI ZIWA TANGANYIKA WAUNGWA MKONO

    May 09, 2024

    Wananchi wanaojishughulisha na uvuvi katika ukanda wa Ziwa Tanganyika wameunga mkono hatua ya serikali ya kupumzisha shughuli za uvuvi katika ziwa Tanganyika ili kulipa nafasi ziwa kuongeza kiwango chake cha uzalishaji wa samaki.

.