Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
TVLA YAANZA MIKUTANO NA VYAMA VYA MIFUGO KUPATA VYAKULA BORA
July 04, 2024Serikali imeanza kufanya kazi kwa karibu na vyama vya mifugo nchini kupitia vikao mbalimbali ili kuhakikisha usalama na ubora wa vyakula vya mifugo.
-
TUMEANDAA MPANGO WA MAGEUZI YA SEKTA YA MIFUGO NCHINI-BITEKO111
July 04, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeandaa mpango wa mageuzi ya sekta ya mifugo ambao utasaidia kupata ufumbuzi wa changamoto zinazoikabili sekta ya mifugo nchini.
-
KAMATI YA BUNGE, WIZARA YAIPONGEZA ASAS UZALISHAJI WA MAZIWA BORA
July 04, 2024Kamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo pamoja na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, leo zimeipongeza kampuni ya Asas katika kuzalisha bidhaa bora za maziwa.
-
MNYETI AWA "MBOGO" KWA WAFUGAJI WASIOTAKA KUBADILIKA
July 04, 2024Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amesema kuwa Serikali itaendelea kutounga mkono wafugaji wanaofuga kimila badala ya ufugaji wa kisasa unaoweza kuboresha uchumi wao na Taifa kwa ujumla.