Habari

  • WAZALISHAJI VYAKULA VYA MIFUGO WATAKIWA KUHAKIKI UBORA KWA MUJIBU WA SHERIA

    July 04, 2024

    Wazalishaij wa vyakula vya mifugo nchini wametakiwa kuwasilisha sampuli za vyakula hivyo katika Wakala ya Maabara ya Veterinari nchini (TVLA) kwa mujibu wa sheria ili kuhakiki ubora wa vyakula hivyo kabla ya kupelekwa sokoni.

  • ​WAVUVI WADOGO WAMPA MAUA YAKE RAIS SAMIA

    June 07, 2024

    Wavuvi wadogo hapa nchini wamejinasibu kutembea kifua mbele kwa sababu ya mipango mizuri ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoiweka juu ya kuwasaidia wavuvi kuinuka na kuboresha shughuli zao.

  • BITEKO: BILA WAVUVI WADOGO HAKUNA UVUVI NCHINI

    June 07, 2024

    Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema maendeleo ya sekta ya uvuvi nchini yanategemea wavuvi wadogo kwa sababu asilimia 95 ya shughuli za uvuvi zinafanywa na wavuvi wadogo.

  • WAKAGUZI MIFUGO,MAZAO YAKE WAPIGWA MSASA

    May 22, 2024

    Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi leo Mei 22, 2024 imeanza kutoa mafunzo ya siku 3 kwa Wakaguzi wa mifugo na mazao yake waliopo kwenye vituo mbalimbali vya ukaguzi ikiwa ni pamoja na vile vilivyopo kwenye mipaka yote nchini zoezi litakalofanyika mkoani Morogoro.

.