Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
MAJALIWA MAJALIWA ANADI FURSA ZA UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA UVUVI
September 11, 2024Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametumia jukwaa la Mkutano wa 8 wa Mawaziri wa Uvuvi wa Bahari na Maji ya Ndani kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Afrika, Karibiani na Pasifiki
-
ULEGA AANIKA FAIDA MKUTANO WA OACPS
September 10, 2024Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema kufanyika kwa mkutano wa OACPS nchini Tanzania kutasaidia kuweka mikakati madhubuti ya kuinua sekta ya uvuvi na kuchechemua uchumi wa taifa kwa ujumla.
-
SHEMDOE APOKEA MAKASHA 70 YA KUHIFADHIA SAMAKI
August 31, 2024Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe amepokea jumla ya makasha 70 ya kuhifadhia samaki kwa niaba ya wanawake wanasiriamali waliopo kwenye mialo ya Kibirizi na Katonga mkoani Kigoma
-
RAIS SAMIA KUONGOZA MAWAZIRI ZAIDI YA 70 KUJADILI UCHUMI WA BULUU JIJINI DAR ES SALAAM
August 29, 2024Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwaongoza Mawaziri zaidi ya 70 kutoka mataifa wanachama wa Umoja wa Afrika, Karibiani na Pasifiki (OACPS)..