Habari

  • MWONGOZO MPYA KUWASAIDIA WAVUVI MAJI MADOGO NA MAENEO OEVU

    July 04, 2024

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeandaa Rasimu ya Mwongozo wa Usimamizi wa Uvuvi kwenye Maji madogo ikiwa ni njia mojawapo ya kuweka usimamizi mathubuti kulingana na changamoto zilizopo kwenye maeneo hayo.

  • NCHI 30 ZAKUTANA DSM KUMJADILI KASA

    July 04, 2024

    Wadau kutoka nchi mbalimbali takriban 30 zilizo kando ya Bahari ya Hindi ambazo zimesaini makubaliano ya uhifadhi wa Kasa wa baharini wamekutana kujadili na kupima hatua waliyofikia ya kuwalinda kasa hao tangu wasaini makubaliano.

  • ULEGA AZINDUA TAARIFA YA 21 YA HALI YA UCHUMI (SEKTA YA MIFUGO) NCHINI

    July 04, 2024

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amezindua taarifa ya 21 ya hali ya uchumi wa Tanzania iliyoandaliwa na Benki ya Dunia ambayo awamu hii imeangazia eneo mahususi la sekta ya mifugo.

  • ELIMU KUTOLEWA KWA WANUFAIKA WA BOTI KANDA YA ZIWA VICTORIA

    July 04, 2024

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza mchakato wa kutoa elimu kwa wanufaika wa Boti kanda ya ziwa Viktoria mkoani Mwanza na kushughulikia changamoto mbalimbali zinazowakumba wanufaika hao, ikiwa ni njia mojawapo ya kuwasikiliza na kushughulikia changamoto zao na kutoa elimu za utumiaji Boti 55 hizo zilizotolewa na Serikali

.