Habari

 • ​NARCO YAASA UWEPO MATAMASHA YA ULAJI NYAMA, KUONGEZA UZALISHAJI

  December 01, 2021

  Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited (NARCO) imetoa wito kwa viongozi wa mikoa nchini kujenga utaratibu wa kufanya matamasha ya ulaji nyama ili kuhamasisha wananchi kuongeza wigo wa kula nyama ili kujenga afya zao na kuongeza uzalishaji wa bidhaa hiyo nchini.

 • ULEGA: WAFUGAJI 'WAKOROFI' WACHUKULIWE HATUA ZA KISHERIA

  December 01, 2021

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema wafugaji wanaoingiza mifugo yao kulisha katika mashamba ya wakulima ni wahalifu kama wahalifu wengine na ni lazima wachukuliwe hatua za kisheria.

 • ​WAVUVI WATAKIWA KUKATA BIMA YA JAHAZI

  December 01, 2021

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki amewataka wavuvi kukata bima ya jahazi ili iwasaidie kuwakinga wanapokumbwa na majanga wakati wakitekeleza majukumu yao ya kila siku.

 • MKAKATI WA KUENDELEZA SEKTA ZA MIFUGO NA UVUVI WAWASILISHWA.

  December 01, 2021

  Wizara ya Mifugo na Uvuvi imewasilisha mpango mkakati wa kipindi cha miaka mitano kwa ajili ya kuendeleza sekta za mifugo na uvuvi ili kuinua zaidi mchango wa sekta hizo katika pato la taifa ifikapo mwaka 2025/26.

.