Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
BIL. 3.1 KUTUMIKA KWENYE UKUZAJI VIUMBE MAJI RUVUMA, LINDI
May 05, 2024Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi chini ya uratibu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu imeanza utekelezaji wa mradi wa kuendeleza Lishe na Ufugaji endelevu wa Viumbe maji kwa wakulima wadogo thamani ya shilingi Bil. 3.1.
-
ULEGA ATEMBELEA MIRADI YA UFUGAJI SAMAKI KATIKA VIZIMBA, MWANZA
April 30, 2024Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega ameonesha kufurahishwa na vijana wanaofanya miradi ya ufugaji wa samaki katika vizimba jijini Mwanza baada kuwatembelea na kuona maendeleo mazuri yaliyofikiwa na vijana hao...
-
ENEO LA MALISHO YA MIFUGO LILILOTENGWA NA SERIKALI KATIKA KIJIJI CHA MISUNA LAVAMIWA.
April 23, 2024Serikali kupitiaTume ya Taifa ya mpango wa matumizi ya Ardhi imetenga maeneo mbalimbali Nchini ikiwemo na maeneo ya malisho ya mifugo
-
MHEDE AAHIDI USHIRIKIANO WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI
April 23, 2024Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dkt. Edwin Mhede amehadi ushirikiano kwa watendaji wenzake wa Wizara hiyo.