Habari

  • ​TANZANIA YAKABIDHIWA BOTI KUDHIBITI UVUVI HARAMU

    March 05, 2024

    Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imekabidhiwa boti mbili kutoka Taasisi ya Uvuvi ya Ziwa Victoria (LVFO) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa ajili ya kufanya doria na kudhibiti uvuvi haramu ndani ya Ziwa Victoria.

  • WAFUGAJI MSOMERA WAZURU LITA, TALIRI TANGA

    February 29, 2024

    Wafugaji kutoka kijiji cha Msomera kilichopo Handeni mkoani Tanga leo februari 28, 2024 wametembea taasisi za Wakala ya Mafunzo ya Mifugo nchini (LITA) kampasi ya Buhuri mkoani humo na ile ya Utafiti wa Mifugo nchini (TALIRI) kanda ya Mashariki.

  • SERIKALI YAZINDUA BBT-LIFE (UVUVI) AWAMU YA PILI.

    February 23, 2024

    Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu imezindua awamu ya pili ya program ya Jenga kesho iliyo bora kwa wanawake na vijana kwa upande wa sekta ya Uvuvi maarufu kama “BBT-LIFE”

  • ​​BBT-LIFE (UVUVI) AWAMU YA PILI YANG'OA NANGA

    February 21, 2024

    Serikali kupitia wizara ya Mifugo na uvuvi imeanza kutekeleza programu ya "Jenga kesho iliyo bora kwa wajasiriamali wanawake na vijana upande wa sekta ya Uvuvi kupitia mafunzo yanayotolewa kwa vijana na wanawake 300 kutoka pande mbalimbali za nchi yaliyoanza kutolewa februari 19, 2024.

.