Habari

  • ​ZIWA TANGANYIKA KUPUMZISHWA ILI KUWEZESHA SAMAKI KUZALIANA

    January 10, 2024

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega ametangaza mpango wa Serikali wa kupumzisha shughuli za uvuvi katika ziwa Tanganyika kwa miezi mitatu ili kuwezesha samaki kuzaliana na kuongeza tija kwa wavuvi wanaofanya shughuli zao ziwani humo.

  • ​​ULEGA AMSIMAMISHA KAZI AFISA MFAWIDHI KIGOMA

    January 10, 2024

    WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bi. Agnes Meena kumsimamisha kazi Afisa Mfawidhi anayeshughulikia ubora wa samaki kituo cha Kigoma, Bw. Frank Kabitina kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma.

  • ULEGA AUNG’OA UONGOZI MNADA WA PUGU

    January 03, 2024

    WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. Daniel Mushi kuuondoa Uongozi mzima wa Mnada wa Pugu kwa kushindwa kufikia lengo la ukusanyaji wa mapato.

  • ​TAFITI ZILENGE KUONGEZA UZALISHAJI NA SIO WINGI WA MIFUGO-PROF. SHEMDOE.

    December 18, 2023

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe amewataka watafiti wanaojihusisha na sekta ya Mifugo kuhakikisha tafiti zao zinalenga kuongeza uzalishaji wa mazao ya mifugo badala ya wingi wa Mifugo.

.