Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
TANZANIA YANG’ARA KATIKA TUZO ZA KIMATAIFA ZA UTALII (WORLD TRAVEL AWARDS – 2023)
December 04, 2023Tanzania imeng'ara katika tuzo za kimataifa za Utalii zilizotolewa na World Travel Awards (WTA) wakati wa sherehe za kutimiza miaka 30 ya tuzo hizo zilizofanyika katika mji wa Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu, Disemba 2, 2023
-
WAZALISHAJI, WAUZAJI WA VYAKULA VYA MIFUGO WASIOFUATA TARATIBU KUSHUGHULIKIWA
December 04, 2023Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia Wakala ya Maabara ya Veterinari nchini (TVLA) imetangaza kuanza kuwashughulikia wazalishaji na wauzaji wa vyakula vya mifugo wasiofuata sheria na kanuni zinazoongoza utekelezaji wa shughuli hizo.
-
MAAFISA UGANI WASIGEUZWE WAKUSANYA USHURU WA HALMASHAURI-MNYETI
December 04, 2023Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amewataka wakurugenzi wa Halmsahauri zote nchini kutowatumia maafisa ugani upande wa sekta ya Uvuvi kama sehemu ya wakusanya ushuru wa Halmashauri zao na badala yake wawaache watekeleze jukumu lao la msingi la kuwahudumia wavuvi waliopo kwenye maeneo yao.
-
ULEGA AFUNGUA TAMASHA LA UTALII CHATO, ATAJA FURSA KEMKEM ZA UWEKEZAJI
November 27, 2023Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amefungua Tamasha la Utalii "Chato Utalii Festival 2023" linalofanyika wilayani Chato, mkoani Geita kwa lengo la kuhamasisha shughuli za utalii na kutangaza fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo mkoani humo.