Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
ULEGA AKABIDHI BOTI ZA THAMANI YA TSH. BILIONI 1 KWA WAVUVI TANGA
November 08, 2023Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amekabidhi Boti za kisasa 14 za uvuvi zilizotolewa na Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan zenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.2 kwa ajili ya kuwapa wavuvi Mkoani Tanga ili wazitumie kuboresha shughuli zao.
-
ZIARA YA ULEGA THAILAND
November 08, 2023Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega yuko nchini Thailand kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa kujadili changamoto zinazoikabili sekta ya mifugo duniani kutokana na mabadiliko ya kisera, kiuchumi, kijamii na kimazingira.
-
WADAU WAHIMIZWA KUFUGA SAMAKI KUKUZA SEKTA YA UVUVI NCHINI
November 01, 2023Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe amewahimiza wadau wa sekta ya uvuvi kujikita katika ufugaji wa viumbe maji ili kusaidia kukuza mchango wa sekta ya uvuvi katika Pato la Taifa kutoka asilimia 1.7 walau kufika mpaka asilimia 5 ifikapo mwaka 2025.
-
MNYETI AHIMIZA UFUGAJI WA KISASA KATAVI
November 01, 2023Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amewataka wafugaji mkoani Katavi kuondokana na ufugaji holela licha ya kuwepo kwa maeneo ya kutosha ya malisho ya mifugo yao.