Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
DKT. MUSHI AKUTANA NA WAWEKEZAJI TASNIA YA NYAMA NCHINI
November 01, 2023Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Dkt. Daniel Mushi leo Oktoba 18, 2023 amekutana na wawekezaji upande wa tasnia ya nyama kutoka viwanda vya Elia Food na Tanchoice.
-
WANAFUNZI MIFUGO NA UVUVI KUNUFAIKA NA PROGRAM YA MAFUNZO NJE YA NCHI.
November 01, 2023Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Dkt. Daniel Mushi Oktoba 17,2023 amekutana na ujumbe kutoka Shirika la kimataifa la Bixter linalojishughulisha na uratibu wa mafunzo kwa vitendo katika nyanja za Mifugo na Uvuvi kwa wanafunzi kutoka barani Afrika na Asia.
-
MNYETI AHAMASISHA ULAJI WA CHAKULA SHULENI
November 01, 2023Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Alexander Mnyeti, amehamasisha ulaji wa chakula shuleni wakati akiongoza zoezi la ugawaji wa mayai na dagaa kwenye shule ya msingi Bitale maalum iliyopo mkoani Kigoma 14.10.2023.
-
MIFUGO NA UVUVI YAFA KIUME MBELE YA HAZINA
November 01, 2023Timu ya soka ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi imekubali kipigo cha magoli 3-1 kwenye mchezo wa fainali ya Michuano ya SHIMIWI iliyokuwa ikifanyika mkoani Iringa Oktoba 14, 2023.