Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
SERIKALI YAAHIDI KUIWEZESHA TAFIRI KUFANYA TAFITI ZAIDI
November 01, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema serikali itafanya kila jitihada kuhakikisha Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) inafanya shughuli zake kwa ufasaha ili kuongeza tija katika Sekta ya Uvuvi nchini.
-
ULEGA AWATAKA WATAALAMU KUONGEZA UBUNIFU KUKUZA SEKTA ZA MIFUGO NA UVUVI
November 01, 2023Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amewataka Wataalam wa Sekta za Mifugo na Uvuvi kuongeza ubunifu katika shughuli zao za kila siku ili mchango wa sekta hizo katika uchumi wa Taifa uweze kuongezeka.
-
WAVUVI KUANZA KUTUMIA MFUMO WA KUTAMBUA SAMAKI MAJINI
November 01, 2023Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI), inatarajia kuanza kutumia rasmi mfumo wa kuwapatia wavuvi wadogo taarifa ya mahali samaki walipo ili wavuvi hao waweze kuvua kwa tija na kuondokana na uvuvi wa kubahatisha.
-
PROF. MSOFFE AIKABIDHI RASMI NARCO
November 01, 2023Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Ranchi za Taifa nchini (NARCO) Prof. Peter Msoffe amekabidhi rasmi majukumu ya usimamizi wa kampuni hiyo kwa kaimu Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo Bw. Bwire Mujarubi Oktoba 23, 2023 jijini Dodoma.