Habari

  • DKT. SAMIA AMEDHAMIRIA KUFANYA MAPINDUZI YA SEKTA YA UVUVI-MNYETI

    November 20, 2023

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi amebainisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepania kuifanya sekta ya Uvuvi kuwa moja ya sekta vinara katika kukuza uchumi wa nchi.

  • ​MNYETI ASHUSHA NEEMA YA RAIS SAMIA KWA WAVUVI MBEYA, NJOMBE, RUVUMA.

    November 20, 2023

    Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander mnyeti amekabidhi boti 4 za Uvuvi za mkopo usio na riba zenye thamani ya shilingi milioni 229.9 kwa wavuvi wa mikoa ya Mbeya, Njombe na Ruvuma wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Novemba 15, 2023 kwenye bandari ndogo ya Kiwira iliyopo Wilaya ya Kyela mkoani mbeya.

  • ULEGA AWAKARIBISHA WASAUDIA KUWEKEZA SEKTA YA MIFUGO, UVUVI

    November 15, 2023

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amewakaribisha wafanyabiashara na Wawekezaji wa nchini Saudia Arabia kuja kuwekeza nchini kwa sababu kuna mazingira mazuri ya uwekezaji yaliyowekwa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

  • TANZANIA, EU KUSHIRIKIANA KUENDELEZA UCHUMI WA BULUU NCHINI

    November 08, 2023

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amekutana na Mkurugenzi Mtendaji anayeshughulikia Sera za Uvuvi na Sheria za Masuala ya Bahari kutoka Umoja wa Ulaya (EU), Bi. Charlina Vitcheva kujadiliana namna wanavyoweza kuendelea kushirikiana katika kukuza uchumi wa buluu hapa nchini.

.