Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
MHE ULEGA AWATAKA WAFUGAJI KUFUGA KIBIASHARA
September 24, 2018Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amewataka Wafugaji kuachana na tabia ya kufuga kuku kwa mazoea badala yake wafuge kibiashara ili kujikwamua kiuchumi.
-
Katibu Mkuu Uvuvi Dkt. Rashid Tamatama akagua Mwalo wa Miyobozi, Mkoani Kigoma
September 14, 2018Katibu Mkuu-Uvuvi alifanya ziara ya kikazi katika Mkoa wa kigoma ya kutembelea maeneo mbalimbali yenye shughuli za Uvuvi. Katika maeneo hayo aliembelea Mwalo wa Miyobozi na kukagua miundombinu ya Mwalo huo
-
Katibu MKuu M Prof. Elisante O. Gabriel atembelea kiwanda cha kuzalisha chakula cha kuku
September 14, 2018Katibu Mkuu afanya ziara ya kutembelea kiwanda cha kuzalisha chakula cha kuku cha Silverland kilicopo nje kidogo ya Mji wa Iringa.
-
Naibu Waziri Mhe. Abdallah Ulega akikabidhi vifaranga kwa kikundi cha ufugaji bora Dodoma
August 29, 2018Mgeni rasmi katika kuendesha zoezi la ugawaji wa vifaranga alikuwa Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akiwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Peter Pinda pamoja na Mkuu wa Wilaya wa Dodoma Mhe. Patrobas Katambi.