Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
Mhe. Luhaga Mpina akifungua warsha ya siku mbili ya wadau wa sekta ya maziwa
February 27, 2019Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Luhaga J. Mpina akifungua warsha ya siku mbili ya wadau wa sekta ya maziwa iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
-
AGIZO LATOLEWA KWA WANAOJENGA JENGO LA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KUENDELEA KULIPWA KWA WAKATI
January 30, 2019Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega, amemtaka mkandarasi SUMA JKT anayejenga jengo la wizara hiyo katika Mji wa Serikali Jijini Dodoma, kuhakikisha anaendelea kuwalipa wafanyakazi wanaojenga jengo hilo kwa wakati pamoja na kuhakikisha ubora wa jengo hilo unaendana na thamani hali pesa.
-
Waziri Mpina akabidhiwa madawa ya kuogeshea Mifugo katika zoezi la uogeshaji Mifugo -CHATO
December 17, 2018Katika kipindi hiki cha Serikali ya awamu ya Tano,mimi nikiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, nitaboresha huduma za Mifugo ili tupate Mazao ya Mifugo yaliyo Bora ikiwa ni pamoja na kuogesha Ng'ombe wetu mara kwa mara ili kuua wadudu waenezao Magojwa kwa Mifugo.
-
Katibu Mkuu Sekta ya Uvuvi Dr. Rashid Tamatama afungua Mafunzo ya Wataalamu wa Magonjwa ya samaki
December 09, 2018UFUNGUZI WA MAFUNZO YA WATAALAMU WA MAGONJWA YA SAMAKI KUTOKA NCHI MBALIMBALI.