Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
WAZIRI MPINA ATEKETEZA NYAVU HARAMU TANGA
March 26, 2019Waziri wa mifugo na uvuvi Mhe. Luhaga Mpina (Mb) ateketeza vipande vya nyavu haramu 773 zenye chini ya mil 10 ambazo zilikutwa katika maeneo ya Kigombe,Moa na Tanga Jiji Mkoani Tanga.
-
SERIKALI YATEKETEZA TANI 11 ZA SAMAKI ZENYE THAMANI YA Sh.MIL 66
March 13, 2019Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeteketeza Tani 11 za samaki zenye thamani ya zaidi ya Tshs mil.60 zilizobainika kuwa na sumu na hazifai kwa matumizi ya binadamu.
-
Waziri Mpina azindua mpango kabambe wa kuendeleza sekta ya mifugo Tanzania
March 13, 2019WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (Mb), amezindua Mpango Kambambe wa Kuendeleza Sekta ya Mifugo nchini (Tanzania Livestock Master Plan-TLMP) huku akimtaka Katibu Mkuu Mifugo kuandaa mpango wa utekelezaji wa mkakati huo ndani ya siku 30 ili utekelezaji uanze mara moja.
-
SERIKALI kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imewahakikishia wafugaji kuwa hakuna mifugo itakayopotea.
February 27, 2019SERIKALI nchini kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imewahakikishia wafugaji kuwa hakuna mifugo itakayopotea kutokana na magonjwa mbalimbali.