Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Mhe. Luhaga Mpina akifungua warsha ya siku mbili ya wadau wa sekta ya maziwa

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Luhaga J. Mpina akifungua warsha ya siku mbili ya wadau wa Sekta ya maziwa iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Lengo ikiwa ni kuweka mikakati sahihi itakayosaidia maendeleo ya mnyororo mzima wa thamani katika kukuza sekta ya maziwa Nchini.