Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Katibu MKuu M Prof. Elisante O. Gabriel atembelea kiwanda cha kuzalisha chakula cha kuku

Katibu Mkuu afanya ziara ya kutembelea kiwanda cha kuzalisha chakula cha kuku cha Silverland kilicopo nje kidogo ya Mji wa Iringa.