Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
Mhe. Waziri wa mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina akipanda mti katika viwanja vya Nyakabindi Simiyu
August 13, 2018WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATOA MAELEKEZO Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Luhaga Joelson Mpina,ametoa maelekezo kadhaa kwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuyatekeleza katika kipindi cha bajeti ya Mwaka 2018/2019.
-
Katibu Mkuu Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea machache na Watumishi (hawapo pichani)
July 30, 2018Katibu Mkuu Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea na watumishi wa Wizara baada ya uteuzi wa Mhe. Raisi wa kuwa katibu Mkuu (Mifugo) Sekta ya Mifugo na Uvuvi.
-
Mhe Waziri akizindua Shirika la Uvuvi Tanzania TAFICO - Kigamboni Jijini Dar es Salaam
July 09, 2018Shirika la Uvuvi la Tanzania (Tanzania Fisheries Corporation-TAFICO) lilianzishwa mwaka 1974 kwa Tangazo la Serikali Na. 58 la tarehe 03 Januari 1974 toleo la II chini ya Sheria ya Makampuni ya Umma Na. 17 ya mwaka 1969. Shirika hili lilikuwa na Makao yake Makuu Kigamboni, Dar es Salaam.
-
Maonesho ya Sabasaba 2018
July 09, 2018Siku ya kilele ya maonesho ya 42 ya Sabasaba yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Sabasaba tarehe 07/07/2018, yalifana sana na kuvutia wadau mbalimbali na kutembelea mabanda ya Sekta ya Mifugo na Uvuvi, ili kujionea fursa mbalimbali zilizopo katika Sekta hizo.