Katibu Mkuu Uvuvi Dkt. Rashid Tamatama akagua Mwalo wa Miyobozi, Mkoani Kigoma

Imewekwa: Friday 14, September 2018

Katibu Mkuu-Uvuvi alifanya ziara ya kikazi katika Mkoa wa kigoma ya kutembelea maeneo mbalimbali yenye shughuli za Uvuvi. Katika maeneo hayo aliembelea Mwalo wa Miyobozi na kukagua miundombinu ya Mwalo huo

.