Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
Baadhi ya ng'ombe aina ya Ankole waliopo katika shamba la Alpha Choice -Chato
August 27, 2018Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Prof.Elisante Ole Gabriel jana amekamilisha ziara yake ya kutembelea mikoa sita ya kanda ya Ziwa,lengo ikiwa ni kuhamasisha wafugaji kufuga kisasa na kibiashara ili waweze kujikwamua kimaisha.
-
Waziri wa mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akiangalia paredi ya mifugo Mkoani Arusha
August 13, 2018Mgeni rasmi katika ufunguzi alikuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina ambapo alipata fursa ya kujionea shughuli za mbalimbali za maonesho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Themi - Arusha tarehe 05/08/2018
-
Katibu Mkuu Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel atembelea shamba la Mifugo Mkoani Mwanza
August 13, 2018Wafugaji Mkoani Mwanza wametakiwa kufuga kisasa ikiwa ni pamoja na kuwa na idadi mdogo ya mifugo ili kuweza kupata tija na kufikia uchumi wa viwanda. Akiongea na wadau mbalimbali wa mifugo katika mnada wa Nyamatara Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza hivi karibuni,Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi,
-
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akiangalia malisho ya Mifugo katika viwanja vya Nzuguni Dodoma
August 13, 2018Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akiangalia malisho ya Mifugo katika viwanja vya Nzuguni Dodoma