Habari

  • NDAKI: TUTABORESHA SEKTA YA MIFUGO KWA KUJENGA MAJOSHO 129

    March 30, 2021

    ​SERIKALI imesema kuwa katika mwaka wa fedha 2021/22 imepanga kuboresha sekta ya mifungo ikiwa ni pamoja na kujenga majosho 129, ili kuongeza thamani ya bidhaa zitokanazo na mazao ya mifugo.

  • MASHAMBA DARASA YA UFUGAJI SAMAKI KUANZISHWA KOTE NCHINI

    March 18, 2021

    Serikali imesema katika bajeti ya mwaka wa fedha 2021/2022 ina mpango wa kuanzisha vituo vya ukuzaji viumbe maji katika halmashauri 80 za wilaya ikiwa na lengo la kuhakikisha kila halmashauri inakuwa na kituo hicho ambacho kitatumika kama shamba darasa kwa ajili ya kufundisha wananchi namna ya kufuga samaki.

  • WAFANYABIASHARA WAPEWA SIKU 5 KUONDOA MIFUGO KATIKA MNADA WA KIZOTA

    March 16, 2021

    Wafanyabiashara wa mifugo katika Mnada wa Kizota Jijini Dodoma wametakiwa kuacha kuhifadhi mifugo yao inayokwenda machinjioni katika eneo la mnada kwani kufanya hivyo ni kinyume na taratibu.

  • WACHUNAJI NGOZI WASIOZINGATIA TARATIBU KUFUTIWA LESENI

    March 16, 2021

    Serikali imesema itawachukulia hatua kali ikiwemo kuwafutia leseni wachunaji wa ngozi katika machinjio ya Manispaa ya Morogoro wanaotoboa ngozi za mifugo na kuifanya kukosa thamani licha ya kupatiwa mafunzo na vitendea kazi.

.