Habari

  • WACHUNAJI WATAKIWA MBINU BORA NA VIFAA STAHIKI

    April 09, 2021

    Wachunaji wa ngozi katika machinjio ya Manispaa ya Tabora wametakiwa kutumia mbinu bora na vifaa stahiki wakati wa uchunaji wa ngozi.

  • WIZARA IZALISHE VIFARANGA WA SAMAKI KWA WINGI-RAIS SAMIA.

    April 09, 2021

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuzalisha kwa wingi vifaranga wa samaki ili watu wengi zaidi waweze kunufaika na fursa ya ufugaji wa samaki ambayo imeonekana kuvutia watu wengi kwa hivi sasa.

  • NDAKI AONGOZA MAPOKEZI YA ULEGA

    April 09, 2021

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki leo amewaongoza viongozi, watendaji na watumishi wa Wizara hiyo kumpokea Naibu Waziri wake Mhe. Abdallah Ulega tukio jioni ya leo(01.04.2021) makao makuu ya Wizara yaliyopo Mtumba jijini Dodoma.

  • UTASHI WA DKT. MAGUFULI CHACHU YA MAENDELEO SEKTA YA UVUVI - DKT. TAMATAMAH

    April 02, 2021

    Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dkt. Rashid Tamatamah amesema kuwa utashi wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati, Dkt. John Magufuli wa kuamua kuwekeza katika Sekta ya Uvuvi umechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya sekta hiyo.

.