Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Habari
-
WAFUGAJI WAKIJENGEWA UWEZO WATAKUZA UCHUMI WA TAIFA - MONGELA
November 13, 2020Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongela amesifu juhudi zinazofanywa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika kuhakikisha wafugaji wake wanafanya shughuli hiyo kwa tija na kwa kuzingatia dhana ya ukuzaji wa uchumi wao.
-
SERIKALI YATUMIA MILIONI 900 KUKARABATI MABWAWA MAWILI YA KUNYWESHEA MIFUGO
November 09, 2020Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Elisante Ole Gabriel amesema kuwa serikali inatumia zaidi ya shilingi Milioni 900 kwa ajili ya ukarabati mkubwa wa Mabwawa mawili ya kunyweshea maji mifugo mkoani Manyara na Arusha.
-
WATUMISHI WATAKIWA KUZIFAHAMU SHERIA NA TARATIBU ZA UTUMISHI WA UMMA.
October 23, 2020Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Bw. Zachariyya Kera amewataka watumishi wa umma kujijengea tabia ya kusoma katiba na sheria za kiutumishi ili kuzifahamu sheria na haki zao za msingi.
-
DKT. TAMATAMAH AKABIDHI VIPANDE VYA KAMBA 700,000 KWA WAKULIMA WA MWANI
October 23, 2020Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dkt. Rashid Tamatamah amekabidhi vipande vya kamba za manila 700,000 kwa wakulima wa mwani katika Kijiji cha Songosongo, wilayani Kilwa, mkoa wa Lindi.